ahariri wa magazeti watoa maoni juu ya mkutano baina ya wajumbe wa
Waislamu na serikali ya Ujerumani uliofanyika mjini Berlin mapema wiki
hii.
Mkutano baina ya wajumbe wa Baraza la Waisalamu na serikali ya Ujerumani
uliofanyika mjini Berlin mapema wiki hii umeibua hisia mbalimbali
.Baadhi wanasema mikutano kama hiyo haina maana tena. Na wengine
wanasema matayarisho mazuri zaidi yanahitajika.Gazeti la"Lausitzer Rundschau" linasema mikutano baina ya wajumbe wa Baraza la Waislamu na serikali ya Ujerumani haipaswi kuwa wasaa wa kuzungumzia juu ya hali ya hewa. Bali inapaswa kuzingatia hofu na wasiwasi wa wananchi.
Halitakuwa jambo la manufaa kufanya kana kwamba